Jumatano, 27 Novemba 2024
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
VIJANA WAVUNA DHAHABU YA SAMAKI ZIWA VICTORIA: UWEKEZAJI WA VIZIMBA NA UMEME WA JUA CHINI YA UFADHIRI WA TADB WAFUNGUA MILANGO YA AJIRA NA UTAJIRI MPYA TANZANIA
Ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba ndani ya Ziwa Victoria umeanza kuwa nguzo muhimu ya kuimarisha uchumi wa vijana na kuchangia usalama w...

-
Kauli mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan –"Kazi na Utu Tunasonga Mbele" – ni dira ya maende...
-
MAFUNZO YA WAJUMBE WA KAMATI YA USALAMA KUHUSU ELIMU YA URAIA NA UTAWALA BORA YANAYORATIBIWA NA WIZARA YA SHERIA NA KATIBA YANAFANYIKA MKO...
-
Ziara ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia , ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu...
Kiongozi lazima aongoze kwa mfano, na ndio maana rais amejitokeza na kwenda kupiga kura ili kuhamasisha wananchi wake. Waende wakapaze sauti zao kwa kuchagua viongozi wawatakao
JibuFutaUshiriki wa rais kwenye uchaguzi ni haki yake kikatiba lakini pia ni hamasa kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi bora kwa ajili ya maendeleo ya eneo lao na kwa taifa kwa ujumla
JibuFutaUshiriki wao katika kupiga kura ni hamasa Kwa Wananchi kuona namna gani uchaguzi wa serikali za mitaa una umuhimu Kwa Wananchi na Taifa Kwa ujumla.
JibuFutaUshiriki wa viongozi kwenye kupiga kura unapaswa kuwa mfano kwa wananchi kwani viongozi hao wanatikiza haki yao kikatiba ambayo kila mwananchi anapaswa kufanya. Kiongozi ni kioo cha jamii. Kwa hiyo yote anayofanya yanapaswa kuwa mfano katika jamii anayoingoza.
JibuFuta#sisinitanzania
#matokeochanya
Ndio ni mfano unaopaswa kuigwa na sio tu ishara ya kutimiza haki ya kikatiba,hii inatoa picha na kuonesha ni namna gani Mh Rais anaheshimu na kuthamini misingi ya demokrasia katika nchi na kuwaonesha wananchi kwamba ni lazima tuwapate viongozi wetu kwa njia ya kupiga kura na kufanya maamuzi yetu yatakayoamua hatima ya maisha yetu ya baadae kwa kupiga kura.
JibuFuta#sisinitanzania
#matokeochanya
#mslac
#SSH
#twenzetukituoni
Ushiriki wa Rais na viongozi wengine katika kupiga kura unapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa wananchi wote. Hii ni kwa sababu:
JibuFutaKuonyesha Uzalendo:Viongozi wanaposhiriki kupiga kura hadharani, wanawatia moyo wananchi kuelewa kuwa ni jukumu lao kama raia kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia.
Kuhamasisha Ushiriki wa Umma:Ushiriki wao unaonyesha kuwa kila kura ina umuhimu, na hivyo kuhamasisha watu zaidi kushiriki bila kujali nafasi au hadhi yao.
Kuthibitisha Kujitolea kwa Demokrasia:Inasisitiza kuwa hata viongozi wa ngazi ya juu wanatambua umuhimu wa mchakato wa uchaguzi kama sehemu ya haki na uwajibikaji wa kikatiba.
Ni haki kwa kila Mtanzania kushiriki katika zoezi la uchaguzi Ili kuchagua kiongozi atakae leta maendeleo kwa Taifa letu. Viongozi wa Nchi kushiriki katika zoezi la uchaguzi inaleta hamasa kwa wananchi no kushiriki katika zoezi la uchaguzi kutokana na mfano ambayo unaoneshwa viongozi wetu wa Nchi. #sisiniTanzaia #matokeochanya #SSH #KaziIendelee
JibuFutaImekuwa jambo la heshima kuona viongoz wanakuw kipaumbele kushiriki zoezi mhimu kam hili litachichochea uwajibikaji na uwazi ktk maendeleo ya nchi yery
JibuFutaKwa ujumla, ushiriki wa Rais na viongozi wengine wa kitaifa katika mchakato wa uchaguzi ni muhimu katika kukuza utamaduni wa demokrasia na ushiriki wa wananchi. Viongozi wanapaswa kuendelea kuhamasisha na kuonyesha mfano mzuri ili kuhakikisha kuwa kila mwananchi anahisi kuwa na wajibu na haki katika mchakato wa kisiasa. Hii itasaidia katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.
JibuFuta#NaipendaNchiYangu #SisiNiTanzania #SSH
Ni mfano wa kuigwa kwa kila Mtanzania,uchaguzi ni haki ya msingi kwetu sote na hatupaswi kuona uvivu kwenda kupiga kura kwani tunahitaji viongozi wakutuongoza katika ngazi ya kijiji.Rais ametuonesha mfano mzuri kwa kuwahi mapema na kupiga kura hivyo nasi tujitokeze.
JibuFuta#ssh
#sisinitanzania
#nchiyangukwanza
#matokeochanya
Maoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaSiku zote Msingi Huanzia Chini, hivyo Mfano wa viongozi wakubwa kama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuonesha mfano wa kwenda kupiga kura hii inaashiria kuwa ni haki kwa Kila mwanamchi kama katiba inavosema kuchagua Kiongozi Sahihi kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi.
JibuFutaNi jambo la kishujaa kuona viongozi wetu kuwa mstari wa mbele kutimiza haki yao ya kikatiba na ni jambo la kuigwa .na si jambo la kawaida ni jambo zuri
FutaHuu ni mfano wa kuigwa kwa wananchi na viongozi wengine. Hakika mama anatekeleza #SSH #matokeochanya
JibuFuta