"Je, ushiriki wa Rais na viongozi wengine katika kupiga kura unapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa wananchi wote, au ni ishara tu ya kawaida ya kutimiza haki yake ya kikatiba? Toa maoni yako."
























Comments

  1. Kiongozi lazima aongoze kwa mfano, na ndio maana rais amejitokeza na kwenda kupiga kura ili kuhamasisha wananchi wake. Waende wakapaze sauti zao kwa kuchagua viongozi wawatakao

    ReplyDelete
  2. Ushiriki wa rais kwenye uchaguzi ni haki yake kikatiba lakini pia ni hamasa kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi bora kwa ajili ya maendeleo ya eneo lao na kwa taifa kwa ujumla

    ReplyDelete
  3. Ushiriki wao katika kupiga kura ni hamasa Kwa Wananchi kuona namna gani uchaguzi wa serikali za mitaa una umuhimu Kwa Wananchi na Taifa Kwa ujumla.

    ReplyDelete
  4. Ushiriki wa viongozi kwenye kupiga kura unapaswa kuwa mfano kwa wananchi kwani viongozi hao wanatikiza haki yao kikatiba ambayo kila mwananchi anapaswa kufanya. Kiongozi ni kioo cha jamii. Kwa hiyo yote anayofanya yanapaswa kuwa mfano katika jamii anayoingoza.
    #sisinitanzania
    #matokeochanya

    ReplyDelete
  5. Ndio ni mfano unaopaswa kuigwa na sio tu ishara ya kutimiza haki ya kikatiba,hii inatoa picha na kuonesha ni namna gani Mh Rais anaheshimu na kuthamini misingi ya demokrasia katika nchi na kuwaonesha wananchi kwamba ni lazima tuwapate viongozi wetu kwa njia ya kupiga kura na kufanya maamuzi yetu yatakayoamua hatima ya maisha yetu ya baadae kwa kupiga kura.
    #sisinitanzania
    #matokeochanya
    #mslac
    #SSH
    #twenzetukituoni

    ReplyDelete
  6. Ushiriki wa Rais na viongozi wengine katika kupiga kura unapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa wananchi wote. Hii ni kwa sababu:
    Kuonyesha Uzalendo:Viongozi wanaposhiriki kupiga kura hadharani, wanawatia moyo wananchi kuelewa kuwa ni jukumu lao kama raia kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia.

    Kuhamasisha Ushiriki wa Umma:Ushiriki wao unaonyesha kuwa kila kura ina umuhimu, na hivyo kuhamasisha watu zaidi kushiriki bila kujali nafasi au hadhi yao.

    Kuthibitisha Kujitolea kwa Demokrasia:Inasisitiza kuwa hata viongozi wa ngazi ya juu wanatambua umuhimu wa mchakato wa uchaguzi kama sehemu ya haki na uwajibikaji wa kikatiba.

    ReplyDelete
  7. Ni haki kwa kila Mtanzania kushiriki katika zoezi la uchaguzi Ili kuchagua kiongozi atakae leta maendeleo kwa Taifa letu. Viongozi wa Nchi kushiriki katika zoezi la uchaguzi inaleta hamasa kwa wananchi no kushiriki katika zoezi la uchaguzi kutokana na mfano ambayo unaoneshwa viongozi wetu wa Nchi. #sisiniTanzaia #matokeochanya #SSH #KaziIendelee

    ReplyDelete
  8. Imekuwa jambo la heshima kuona viongoz wanakuw kipaumbele kushiriki zoezi mhimu kam hili litachichochea uwajibikaji na uwazi ktk maendeleo ya nchi yery

    ReplyDelete
  9. Kwa ujumla, ushiriki wa Rais na viongozi wengine wa kitaifa katika mchakato wa uchaguzi ni muhimu katika kukuza utamaduni wa demokrasia na ushiriki wa wananchi. Viongozi wanapaswa kuendelea kuhamasisha na kuonyesha mfano mzuri ili kuhakikisha kuwa kila mwananchi anahisi kuwa na wajibu na haki katika mchakato wa kisiasa. Hii itasaidia katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.
    #NaipendaNchiYangu #SisiNiTanzania #SSH

    ReplyDelete
  10. Ni mfano wa kuigwa kwa kila Mtanzania,uchaguzi ni haki ya msingi kwetu sote na hatupaswi kuona uvivu kwenda kupiga kura kwani tunahitaji viongozi wakutuongoza katika ngazi ya kijiji.Rais ametuonesha mfano mzuri kwa kuwahi mapema na kupiga kura hivyo nasi tujitokeze.
    #ssh
    #sisinitanzania
    #nchiyangukwanza
    #matokeochanya

    ReplyDelete
  11. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  12. Siku zote Msingi Huanzia Chini, hivyo Mfano wa viongozi wakubwa kama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuonesha mfano wa kwenda kupiga kura hii inaashiria kuwa ni haki kwa Kila mwanamchi kama katiba inavosema kuchagua Kiongozi Sahihi kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni jambo la kishujaa kuona viongozi wetu kuwa mstari wa mbele kutimiza haki yao ya kikatiba na ni jambo la kuigwa .na si jambo la kawaida ni jambo zuri

      Delete
  13. Huu ni mfano wa kuigwa kwa wananchi na viongozi wengine. Hakika mama anatekeleza #SSH #matokeochanya

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JE, KAULI MBIU YA MHE. RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN – 'KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE' INA MAANA GANI KWA MAENDELEO YA TANZANIA?

UMUHIMU WA ZIARA YA RAIS WA TFF KUKAGUA UJENZI WA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU ARUSHA – KWA ULIMWENGU WA SOKA NA USTAWI WA TAIFA