Jumatatu, 14 Julai 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka



Picha ya pamoja  na Mawaziri  mara baada ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO

  “WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO” kwa kuzingatia Katiba na mustakabali wa Muungano wa Tanzania : 1. M...