Jumatatu, 14 Julai 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri ni cha mwisho cha Serikali ya Awamu ya Sita kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO

  “WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO” kwa kuzingatia Katiba na mustakabali wa Muungano wa Tanzania : 1. M...