Jumatatu, 19 Januari 2026

SHULE YA SEKONDARI YA AMALI MWAMBASHA, SHINYANGA DC, YAKAMILIKA



 

Maoni 7 :

  1. Hakika mazungira haya yanafurahisha na kuleta akili ya utimamu kazini

    JibuFuta
  2. Wanafunzi Sasa kazi kwao serikali imetimiza wajibu wake

    JibuFuta
  3. Serikali inaendelea kuboresha miundo mbinu Bora ya elimu hakika serikali ya awamu ya sita inatekeleza kwa vitendo

    JibuFuta
  4. SERIKALI YETU INAFANIKISHA MAENDELEO HAPA NCHINI

    JibuFuta
  5. Sasa miundombinu inaridhisha kwa upatikanaji wa huduma wananchi tuitunze ili iweze kudumu na kuhudumia watu wengi

    JibuFuta
  6. Hakikaa Uongozi Wa Rais wetu unaupiga Mwingi

    JibuFuta
  7. serikali ya awamu ya sita inaendelea na utekelezaji wa ahadi zake katika uboreshaji wa miundombinu kwa sekta mbalimbali

    JibuFuta

Vijana wa Mwanza Waandika Historia Mpya ya Maendeleo

  Leo Februari 19,2026 ni siku ya kipekee kwa vijana wa Mwanza. Ni mwanzo wa enzi mpya—enzi ya matumaini, ubunifu na mafanikio. Uzinduzi wa ...