Dodoma, 20 Novemba 2025 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua rasmi Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025, katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma. Tukio hilo lilikuwa na lengo la kuimarisha misingi ya demokrasia na utulivu wa nchi kwa njia ya uchunguzi wa kina, haki na uwazi.






Ni mwelekeo mpya wa kuleta pamoja Taifa na kila mmoja ajihisi kuwa familia ya Watanzania ๐๐น๐ฟ
JibuFutaHii ndiyo njia pekee itakayoweza kuleta suluhu ya kudumu na kuendelea kudumisha amani ya taifa letu๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
JibuFutaTunaamini tume hii iliyosheheni wataalamu na wabobezi mbalimbali katika nyanja za utatuzi wa migogoro kimataifa na kitaifa itakua mwafaka na muarobaini wakuibua sababu mbalimbali zilizofanya haya madhara yalitokea katika uchaguzi wetu yawekwe wazi na kuchukuliwa hatua za haraka na mamlaka husika ili kukomesha tabia hizi na vitendo hivi wakati mwingine,Hongera sana Mh Rais Samia kwa hatua hii kubwa uliyoichukua
JibuFutaTunaitakia Kila lenye Heri katika kutekeleza Jukumu hili zito kwa mstakabali wa Tanzania yenye Amani na Upendo
JibuFutaMara nyingi kitu (Tume) inapoanzishwa kinakua hakina sifa mzuri Wala mbaya Kwa sababu hakuna anaejua ufanisi wa kitu hicho au udhaifu wako mpaka kianze kufanya kazi
JibuFuta-lengo la Rais ni zuri sana la kuanzisha tume hii ila itategemea utendaji kazi wa hiyo tume je utaendana na malengo ya Dr samia au watafanya watakavyo? Maombi yangu wafanye kazi Kwa weledi Kwa lengo la kurudisha Imani ya Kwa WANANCHI dhidi ya serikal yao