Unayo picha nzuri ya mazingira kutoka mtaa wako, kijijini, chuoni au kazini?
Iwe ni mti uliopandwa, mandhari ya kijani, usafi wa maeneo, au ubunifu wowote wa mazingira?
Tuma picha yako nzuri ya kimazingira ili kuonyesha uzuri wa Tanzania yetu ya kijani!
Tuma kupitia WhatsApp: +255 680 400 400
Tuonyeshe sehemu yako – mahali pazuri pa kijani, pori lililotunzwa, mtaa safi au bustani yako ya nyumbani!
#mazingirachallengetz #sisinitanzania
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni