Posts

Image
  JE, MSUKUMO WA VIJANA KATIKA MAANDAMANO YA GEN Z JUNI 2024 UMELETA MABADILIKO GANI KENYA? – TATHMINI YA KINA KWA MUJIBU WA MUSTAKABALI WA MAENDELEO NA AMANI YA UKANDA Maandamano ya  Gen Z  ya Juni 2024 nchini Kenya yameacha alama isiyofutika si tu katika historia ya taifa hilo, bali pia katika mjadala mpana kuhusu mustakabali wa utawala bora, usawa wa kijamii, ushiriki wa vijana katika siasa, na nafasi ya haki za kibinadamu katika Afrika Mashariki. Ingawa maandamano haya yalikuwa na athari za papo kwa papo kama vile vifo, majeraha na mtafaruku wa kiusalama, athari za muda mrefu zinaendelea kuumbika kwa namna ya kipekee. Kwa kuzingatia maendeleo, amani na ushirikishwaji wa wananchi – hasa vijana – maandamano haya yameleta mabadiliko makubwa katika nyanja mbalimbali: 1.  Kujitokeza kwa Falsafa Mpya ya Uongozi na Uwajibikaji Msukumo wa vijana waliotoka mitaani hadi mitandaoni uliwalazimu viongozi kufikiria upya kuhusu dhana ya uongozi. Rais William Ruto alilazimika ku...
Image
 KATIKA PICHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo tarehe 24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, kufuatia mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizo zitafanyika  katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo.

DCEA NI NINI?

Image
 

SIO NDOTO TENA....!

Image
 

WANANCHI JIJINI DODOMA WAMPONGEZI RAIS SAMIA, WAHIMIZA ELIMU KUPINGA DAWA ZA KULEVYA IENEZWE NCHI NZIMA

Image
Baadhi ya wananchi waliohudhuria fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, jijini Dodoma, wamepongeza jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kuendelea kuwekeza katika kinga na tiba ya waathirika wa dawa za kulevya pamoja na utoaji wa elimu endelevu kwa vijana. Michuano hiyo ya mpira wa miguu, ambayo imeandaliwa na Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya DCEA, imekuwa sehemu ya jukwaa la kijamii kuhamasisha mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana. Katika mchezo wa fainali uliovutia mamia ya mashabiki, timu ya Wagoloko FC iliibuka mshindi kwa kuifunga timu ya Mwaise FC mabao 2–0. Akizungumza wakati wa fainali hiyo, Mwalukasi Sidi Jonjolo, mmoja wa wananchi waliokuwepo uwanjani, alitoa wito kwa serikali kuhakikisha elimu kuhusu madhara ya dawa za kulevya inasambazwa zaidi ka...

JE, COCAINE INA ATHARI GANI KWA TAIFA NA WATU WAKE?

Image